naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 13

Chumba kilicho karibu na cha kulala ni ___

From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 11 - 15.

Nyumba yetu si kubwa sana. Kuta zake ni za mawe. Ina madirisha mengi na milango mitano. Ina paa la bati. Madirisha ni ya mbao na vyuma. Madirishani kuna mapazia ya rangi nyeupe na sakafuni kuna zulia la samawati. Nyumba yetu ina vyumba vingi sana.

Kuna sebule ambayo iko karibu na chumba cha kulala au malazi. Chumba cha kupikia ni jikoni, cha kuogea ni bafu na pia kuna msala. Ndani ya nyumba yetu mna runinga, viti, vitanda, makochi, redio, simu, kabati, meza na vyombo vingine vya jikoni.

13. Chumba kilicho karibu na cha kulala ni _________

  1. Acha malazi
  2. Bsebule
  3. Cbafu
  4. Dmsala.

Answer

B. sebule

Kifungu kinasema, "Kuna sebule ambayo iko karibu na chumba cha kulala au malazi." Chumba cha malazi ndicho chumba cha kulala chenyewe.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test