naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 16

Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.

From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Soma kifungu hiki kisha ujaze pengo la 16 - 20.

Mimi ___16___ kusoma Kiswahili. Darasa ___17___ lina wanafunzi ___18___. Mwalimu ___19___ anatupenda. Wanafunzi ___20___ ni watiifu na wenye bidii.

16. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 16.

  1. Aanapenda
  2. Bunapenda
  3. Ctunapendana
  4. Dninapenda

Answer

D. ninapenda

Mimi ni nafsi ya kwanza umoja, kwa hivyo kitenzi huanza na ni-: Mimi ninapenda kusoma Kiswahili.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test