CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 21
Chagua nomino kwenye orodha.
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.
21. Chagua nomino kwenye orodha.
- ANakuru
- Bmzuri
- Ccheka
- Djuu ya
Answer
A. Nakuru
Nomino ni jina la mtu, mahali au kitu. Nakuru ni jina la mahali (mji). Mzuri ni kivumishi, cheka ni kitenzi na juu ya ni kihusishi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Andika tarakimu ‘89’ kwa maneno.Question 22
- Nafsi ya tatu katika umoja ni ___Question 23
- Mtu anayewahudumia wagonjwa huitwa ___Question 24
- Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?Question 25
- Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo. Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.Question 26
- Andika katika wingi. Mimi nitakuja.Question 27