CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 24
Mtu anayewahudumia wagonjwa huitwa ___
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.
24. Mtu anayewahudumia wagonjwa huitwa _________
- Adaktari
- Bnasi
- Cmunguzi
- Dnesi.
Answer
D. nesi.
Nesi (muuguzi) huwahudumia wagonjwa hospitalini kwa kuwapa dawa na kuwatunza. Daktari huwatibu wagonjwa.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?Question 25
- Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo. Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.Question 26
- Andika katika wingi. Mimi nitakuja.Question 27
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Kipepeo ___Question 28
- Viti ___ vimevunjika.Question 29
- Mwezi upi unaokuja kabla ya Julai?Question 30