CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 26
Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo. Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.
26. Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo.
Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.
- AMkubwa - kivumishi.
- BMti - kitenzi
- CChini - nomino
- DUlikatwa - kiwakilishi
Answer
A. Mkubwa - kivumishi.
Mkubwa ni kivumishi kwa sababu kinaeleza mti ulivyo. Mti ni nomino, ulikatwa ni kitenzi na chini ni kielezi cha mahali.