CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 30
Mwezi upi unaokuja kabla ya Julai?
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.
30. Mwezi upi unaokuja kabla ya Julai?
- AMei
- BAgosti
- CJuni
- DSeptemba.
Answer
C. Juni
Miezi hufuatana hivi: Mei, Juni, Julai, Agosti. Mwezi unaokuja kabla ya Julai ni Juni.