naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 4

Hatuwezi kuweka mazingira yetu safi kwa ___

From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu

Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 1 - 5.

Mazingira yetu lazima yawe safi. Tunafaa kupanda miti mingi. Miti huleta hewa safi na mvua. Tunapata matunda kutokana na miti. Tusiharibu maji ya mito na mifereji. Mazingira machafu huleta afya mbaya. Nzi na mbu huleta magonjwa. Mbu huleta ugonjwa wa malaria na nzi huleta ugonjwa wa kipindupindu.

Tuweke mazingira yetu safi ili tusipate magonjwa. Tunaweza kuweka mazingira yetu safi kwa njia mbalimbali. Tumia choo unapoenda haja. Tupa taka kwenye pipa kisha uzichome. Tusichafue mito kwa uchafu, tufagie tunapoishi na mwisho tusikate miti ovyo.

4. Hatuwezi kuweka mazingira yetu safi kwa ________________

  1. Akutupa taka kwenye pipa
  2. Bkwenda haja msalani
  3. Ckukata miti
  4. Dkufagia mazingira.

Answer

C. kukata miti

Kifungu kinasema tusikate miti ovyo. Kutupa taka kwenye pipa, kwenda haja msalani na kufagia ni njia za kuweka mazingira safi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test