CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 3
Mdudu aletaye ugonjwa wa kipindupindu huitwa ___
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Kusoma, Ufahamu wa Kifungu
Soma kifungu hiki kisha ujibu swali la 1 - 5.
Mazingira yetu lazima yawe safi. Tunafaa kupanda miti mingi. Miti huleta hewa safi na mvua. Tunapata matunda kutokana na miti. Tusiharibu maji ya mito na mifereji. Mazingira machafu huleta afya mbaya. Nzi na mbu huleta magonjwa. Mbu huleta ugonjwa wa malaria na nzi huleta ugonjwa wa kipindupindu.
Tuweke mazingira yetu safi ili tusipate magonjwa. Tunaweza kuweka mazingira yetu safi kwa njia mbalimbali. Tumia choo unapoenda haja. Tupa taka kwenye pipa kisha uzichome. Tusichafue mito kwa uchafu, tufagie tunapoishi na mwisho tusikate miti ovyo.
3. Mdudu aletaye ugonjwa wa kipindupindu huitwa ________________
- Anzi
- Binzi
- Cumbu
- Dmbu.
Answer
A. nzi
Kifungu kinasema, "nzi huleta ugonjwa wa kipindupindu." Mbu huleta malaria. "Inzi" ni jina jingine la nzi linalotumika katika baadhi ya maeneo, kwa hivyo jibu hilo pia ni sahihi.