naQonda

CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 25

Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?

From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Vitate

Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.

25. Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?

  1. Ach/j
  2. Bd/t
  3. Ca/u
  4. Dk/g

Answer

C. a/u

Ch/j, d/t na k/g ni jozi za sauti zinazokanganya (vitate), kama katika taka/daka. A na u ni irabu zinazotamkwa tofauti kabisa, kwa hivyo hazikanganyi.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 4 Kiswahili questions from this test