CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 28
Kamilisha sentensi ifuatayo. Kipepeo ___
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli
Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.
28. Kamilisha sentensi ifuatayo.
Kipepeo ___________
- Akinapepea
- Bwanapepea
- Canapepea
- Dlinapepea.
Answer
A. kinapepea
Kipepeo ni mdudu. Kwa umbo lake (ki-) huchukua kiambishi ki-: kipepeo kinapepea. Kwa kuwa ni kiumbe hai, kipepeo anapepea (ngeli ya A-WA) pia ni sahihi.