CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 23
Nafsi ya tatu katika umoja ni ___
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Viwakilishi
Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.
23. Nafsi ya tatu katika umoja ni ___________
- Asisi
- Bwewe
- Cmimi
- Dyeye.
Answer
D. yeye.
Nafsi ya kwanza umoja ni mimi, ya pili ni wewe, na ya tatu ni yeye. Sisi ni nafsi ya kwanza wingi.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Mtu anayewahudumia wagonjwa huitwa ___Question 24
- Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?Question 25
- Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo. Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.Question 26
- Andika katika wingi. Mimi nitakuja.Question 27
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Kipepeo ___Question 28
- Viti ___ vimevunjika.Question 29