CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 22
Andika tarakimu ‘89’ kwa maneno.
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati
Kutoka swali la 21 - 30 jaza kulingana na maagizo.
22. Andika tarakimu ‘89’ kwa maneno.
- AThemanini na sita
- BThelathini na tisa
- CThemanini na tisa.
- DTisini na nane
Answer
C. Themanini na tisa.
89 ni themanini (80) na tisa (9): themanini na tisa.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Nafsi ya tatu katika umoja ni ___Question 23
- Mtu anayewahudumia wagonjwa huitwa ___Question 24
- Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?Question 25
- Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo. Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.Question 26
- Andika katika wingi. Mimi nitakuja.Question 27
- Kamilisha sentensi ifuatayo. Kipepeo ___Question 28