CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 20
Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 20.
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu hiki kisha ujaze pengo la 16 - 20.
Mimi ___16___ kusoma Kiswahili. Darasa ___17___ lina wanafunzi ___18___. Mwalimu ___19___ anatupenda. Wanafunzi ___20___ ni watiifu na wenye bidii.
20. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 20.
- Ayote
- Bzote
- Cwote
- Dlote
Answer
C. wote
Wanafunzi ni wa ngeli ya A-WA wingi, kwa hivyo tunasema wanafunzi wote.
More Grade 4 Kiswahili questions from this test
- Chagua nomino kwenye orodha.Question 21
- Andika tarakimu ‘89’ kwa maneno.Question 22
- Nafsi ya tatu katika umoja ni ___Question 23
- Mtu anayewahudumia wagonjwa huitwa ___Question 24
- Sauti zipi zisizokanganya kimatamshi?Question 25
- Chagua neno lililoambatanishwa kwa usahihi katika sentensi ifuatayo. Mti mkubwa ulikatwa ukaanguka chini.Question 26