CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 18
Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 18.
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu hiki kisha ujaze pengo la 16 - 20.
Mimi ___16___ kusoma Kiswahili. Darasa ___17___ lina wanafunzi ___18___. Mwalimu ___19___ anatupenda. Wanafunzi ___20___ ni watiifu na wenye bidii.
18. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 18.
- Anyingi
- Bmengi
- Cwengi
- Dmingi
Answer
C. wengi
Wanafunzi ni watu (ngeli ya A-WA), kwa hivyo tunasema wanafunzi wengi.