CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 1 Exam 2025 · Question 17
Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.
From Kiswahili — KPSEA Midterm Assessment 2025 Set 2 (Lugha) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Soma kifungu hiki kisha ujaze pengo la 16 - 20.
Mimi ___16___ kusoma Kiswahili. Darasa ___17___ lina wanafunzi ___18___. Mwalimu ___19___ anatupenda. Wanafunzi ___20___ ni watiifu na wenye bidii.
17. Chagua jibu sahihi kwa nafasi ya 17.
- Aletu
- Byetu
- Cwetu
- Dchetu
Answer
A. letu
Darasa ni la ngeli ya LI-YA, kwa hivyo tunasema darasa letu.