CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025
Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 40 questions
Topics: Kusoma, Sarufi, Fasihi.
All 40 questions with answers
- Question 1: Kwa nini walimu na wanafunzi walimpenda Maria?Answer: Kwa sababu alikuwa mwerevu na mkarimu.
- Question 2: Unafikiria ni kwa nini Maria hakutaka mama yake aje shuleni?Answer: Aliogopa au aliaibika marafiki wangeona makovu ya moto usoni mwa mama yake.
- Question 3: Picha aliyoleta Mama Maria ilikuwa ya nani?Answer: Ilikuwa picha ya Mama Maria alipokuwa msichana mrembo kabla ya kuungua.
- Question 4: Umejifunza nini kutokana na hadithi hii?Answer: Urembo wa kweli umo katika matendo mema na tunapaswa kuthamini kujitolea kwa wazazi.
- Question 5: Kulingana na kifungu, polisi wakifumbia macho visa vya utovu wa usalamaAnswer: B. Visa vya uhalifu huongezeka
- Question 6: Jukumu la kudumisha usalama ni la nani kulingana na kifungu?Answer: Ni jukumu la asasi za kiusalama na wananchi wote.
- Question 7: Methali ‘kinga ni bora kuliko tiba’ imetumika kwa maana gani katika kifungu?Answer: Ni afadhali kuzuia uhalifu au tishio la usalama kabla halijatokea kuliko kushughulikia madhara yake baadaye.
- Question 8: Neno ‘hongo’ limetumika katika kifungu. Kisawe cha neno hili niAnswer: D. chauchau
- Question 9: Eleza ujumbe wa aya ya kwanza kwa sentensi moja.Answer: Lugha ya taifa huunganisha watu wa asili na lugha mbalimbali ili waelewane na kushirikiana.
- Question 10: Fupisha ujumbe ulioangaziwa katika aya ya pili kwa maneno yasiyozidi 9.Answer: Lugha ya taifa huwezesha umoja na maendeleo ya nchi.
- Question 11: Andika habari kuu iliyo katika aya ya tatu kwa sentensi moja.Answer: Kiswahili ni lugha ya taifa na rasmi inayowaunganisha Wakenya.
- Question 12: Andika kichwa kifaacho kwa kifungu hiki.Answer: Umuhimu wa Lugha ya Taifa
- Question 13: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 13.Answer: A. kitambulisho
- Question 14: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 14.Answer: C. yoyote
- Question 15: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 15.Answer: B. wanavyovaa
- Question 16: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 16.Answer: D. sote
- Question 17: Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 17.Answer: C. mkono mmoja haulei mwana
- Question 18: Chagua kadi yenye vivumishi vya sifa.Answer: C. Kubwa, tamu, laini
- Question 19: Andika sentensi hii katika wakati uliopita hali timilifu: Wambui alikuwa akifua nguo za mtoto.Answer: Wambui alikuwa amefua nguo za mtoto.
- Question 20: Nomino chumvi, sukari na simanzi huorodheshwa katika ngeli ipi?Answer: Ngeli ya U–U.
- Question 21: Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi: Mola ametupa ___ bila ___ yoyote. (karama, gharama)Answer: Mola ametupa karama bila gharama yoyote.
- Question 22: Chagua kitenzi kishirikishi katika sentensi hii: Profesa Wamae ni mwanasheria mashuhuri sana.Answer: ni
- Question 23: Kanusha: Mpira huu umetoboka.Answer: Mpira huu haujatoboka.
- Question 24: Cheka ni kwa lia kama ilivyo simama kwa ___.Answer: lala
- Question 25: Ukubwa wa neno mkoba ni koba. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ‘meza’.Answer: Jimeza hilo limejaa vitabu.
- Question 26: Unganisha sentensi zifuatazo ili kuunda sentensi ambatano: Ukame umezidi. Miti imekatwa kiholela.Answer: Ukame umezidi kwa sababu miti imekatwa kiholela.
- Question 27: Andika usemi halisi wa sentensi ifuatayo: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangehudhuria maonyesho ya kilimo juma ambalo lingefuata.Answer: Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtahudhuria maonyesho ya kilimo juma lijalo.”
- Question 28: Hadithi za aina hii huitwa hurafa. Eleza maana ya hurafa.Answer: Hurafa ni hadithi za fasihi simulizi ambazo wahusika wake wakuu ni wanyama wanaotenda na kuzungumza kama…
- Question 29: Andika sifa tatu za hadithi za aina hii.Answer: Wahusika ni wanyama; wanyama hupewa sifa na matendo ya binadamu; hadithi hufundisha maadili au funzo.
- Question 30: Taja wahusika wawili katika hadithi hii.Answer: Sungura na mamba.
- Question 31: Ni shughuli ipi ya kiuchumi aliyoshiriki sungura?Answer: Biashara.
- Question 32: Iwapo ungekutana na sungura, ungempa ushauri gani?Answer: Ningemshauri awe na shukrani, awaheshimu marafiki na akubaliane kuhusu ujira kabla ya kupewa huduma.
- Question 33: Ni jambo lipi linaloonyesha kuwa wanyama waliamua kumrekebisha sungura?Answer: Wanyama wa majini waliapa kwamba hawangemsaidia tena.
- Question 34: Bibi yako amekusimulia hadithi hii. Andika funzo moja utakalopata.Answer: Tunapaswa kuwa na shukrani na kuwaheshimu wanaotusaidia.
- Question 35: Ni mandhari yapi yanayojitokeza katika dondoo hili?Answer: Sebuleni nyumbani kwa Bwana Hemedi na Bi Fauzia.
- Question 36: Maudhui ni masuala yanayoangaziwa katika kazi ya fasihi. Eleza masuala yoyote matatu yaliyoangaziwa katika dondoo hii.Answer: Elimu ya mtoto wa kike, mila potovu/ndoa za kulazimishwa, uwajibikaji kwa wazazi, ugonjwa wa UKIMWI, uongozi…
- Question 37: Ni jambo lipi analojutia Bwana Hemedi kulingana na dondoo hii?Answer: Anajutia kumdhulumu Suluhu na kutaka kumwoza kwa lazima kwa Mzee Kizito.
- Question 38: Andika sifa moja ya Suluhu.Answer: Ni mwenye huruma/msamehevu/mkarimu kwa sababu anawajali wazazi wake na kugharamia matibabu ya babake.
- Question 39: Andika sifa moja ya Mzee Kizito.Answer: Ni tajiri lakini mwenye tamaa/asiye na maadili kwa kuwavutia na kuwaoa mabinti wengi.
- Question 40: Mwandishi wa dondoo hii ametumia mbinu mbalimbali za lugha. Huku ukitolea mifano mwafaka, taja mbinu zozote tatu kati ya hizo.Answer: Methali—‘yaliyopita si ndwele’; tashbihi—‘kipofu kama jongoo’; nahau/sitiari—‘tamaa ilikuwa imenifumba…