CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 13
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 13.
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)
Soma kifungu hiki kisha ujibu.
Utamaduni ni _____13_____ cha jamii. Hii ina maana kuwa sifa za jamii _____14_____ hujitokeza kutokana na jinsi wanajamii wenyewe _____15_____, shughuli zao za kiuchumi na hata utawala wao. Sisi _____16_____ tunapaswa kuheshimu tamaduni zetu na za wengine. Hali kadhalika, wanajamii hawana budi kuungana kwani _____17_____.
Utamaduni ni _____13_____ cha jamii. Hii ina maana kuwa sifa za jamii _____14_____ hujitokeza kutokana na jinsi wanajamii wenyewe _____15_____, shughuli zao za kiuchumi na hata utawala wao. Sisi _____16_____ tunapaswa kuheshimu tamaduni zetu na za wengine. Hali kadhalika, wanajamii hawana budi kuungana kwani _____17_____.
Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 13.
- Akitambulisho
- Bmsingi
- Cthamani
- Dkizuizi
Answer
A. kitambulisho
Jibu sahihi ni: kitambulisho.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 14.Question 14
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 15.Question 15
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 16.Question 16
- Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 17.Question 17
- Chagua kadi yenye vivumishi vya sifa.Question 18
- Andika sentensi hii katika wakati uliopita hali timilifu: Wambui alikuwa akifua nguo za mtoto.Question 19