naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 15

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 15.

From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Matumizi ya Lugha (Kujaza Nafasi)

Soma kifungu hiki kisha ujibu.
Utamaduni ni _____13_____ cha jamii. Hii ina maana kuwa sifa za jamii _____14_____ hujitokeza kutokana na jinsi wanajamii wenyewe _____15_____, shughuli zao za kiuchumi na hata utawala wao. Sisi _____16_____ tunapaswa kuheshimu tamaduni zetu na za wengine. Hali kadhalika, wanajamii hawana budi kuungana kwani _____17_____.

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 15.

  1. Awanaovaa
  2. Bwanavyovaa
  3. Cwanayovaa
  4. Dwanapovaa

Answer

B. wanavyovaa

Jibu sahihi ni: wanavyovaa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test