CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 20
Nomino chumvi, sukari na simanzi huorodheshwa katika ngeli ipi?
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli na Upatanisho wa Kisarufi
Nomino chumvi, sukari na simanzi huorodheshwa katika ngeli ipi?
Answer
Ngeli ya U–U.
A complete answer could be: Ngeli ya U–U.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi: Mola ametupa ___ bila ___ yoyote. (karama, gharama)Question 21
- Chagua kitenzi kishirikishi katika sentensi hii: Profesa Wamae ni mwanasheria mashuhuri sana.Question 22
- Kanusha: Mpira huu umetoboka.Question 23
- Cheka ni kwa lia kama ilivyo simama kwa ___.Question 24
- Ukubwa wa neno mkoba ni koba. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ‘meza’.Question 25
- Unganisha sentensi zifuatazo ili kuunda sentensi ambatano: Ukame umezidi. Miti imekatwa kiholela.Question 26