CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 25
Ukubwa wa neno mkoba ni koba. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ‘meza’.
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Udogo na Ukubwa wa Nomino
Ukubwa wa neno mkoba ni koba. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ‘meza’.
Answer
Jimeza hilo limejaa vitabu.
A complete answer could be: Jimeza hilo limejaa vitabu.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Unganisha sentensi zifuatazo ili kuunda sentensi ambatano: Ukame umezidi. Miti imekatwa kiholela.Question 26
- Andika usemi halisi wa sentensi ifuatayo: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangehudhuria maonyesho ya kilimo juma…Question 27
- Hadithi za aina hii huitwa hurafa. Eleza maana ya hurafa.Question 28
- Andika sifa tatu za hadithi za aina hii.Question 29
- Taja wahusika wawili katika hadithi hii.Question 30
- Ni shughuli ipi ya kiuchumi aliyoshiriki sungura?Question 31