CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 27
Andika usemi halisi wa sentensi ifuatayo: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangehudhuria maonyesho ya kilimo juma ambalo lingefuata.
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Andika usemi halisi wa sentensi ifuatayo: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangehudhuria maonyesho ya kilimo juma ambalo lingefuata.
Answer
Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtahudhuria maonyesho ya kilimo juma lijalo.”
A complete answer could be: Mwalimu aliwaambia wanafunzi, “Mtahudhuria maonyesho ya kilimo juma lijalo.”
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Hadithi za aina hii huitwa hurafa. Eleza maana ya hurafa.Question 28
- Andika sifa tatu za hadithi za aina hii.Question 29
- Taja wahusika wawili katika hadithi hii.Question 30
- Ni shughuli ipi ya kiuchumi aliyoshiriki sungura?Question 31
- Iwapo ungekutana na sungura, ungempa ushauri gani?Question 32
- Ni jambo lipi linaloonyesha kuwa wanyama waliamua kumrekebisha sungura?Question 33