CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 26
Unganisha sentensi zifuatazo ili kuunda sentensi ambatano: Ukame umezidi. Miti imekatwa kiholela.
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Ukanushaji na Aina za Sentensi
Unganisha sentensi zifuatazo ili kuunda sentensi ambatano: Ukame umezidi. Miti imekatwa kiholela.
Answer
Ukame umezidi kwa sababu miti imekatwa kiholela.
A complete answer could be: Ukame umezidi kwa sababu miti imekatwa kiholela.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika usemi halisi wa sentensi ifuatayo: Mwalimu aliwaambia wanafunzi kuwa wangehudhuria maonyesho ya kilimo juma…Question 27
- Hadithi za aina hii huitwa hurafa. Eleza maana ya hurafa.Question 28
- Andika sifa tatu za hadithi za aina hii.Question 29
- Taja wahusika wawili katika hadithi hii.Question 30
- Ni shughuli ipi ya kiuchumi aliyoshiriki sungura?Question 31
- Iwapo ungekutana na sungura, ungempa ushauri gani?Question 32