CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 19
Andika sentensi hii katika wakati uliopita hali timilifu: Wambui alikuwa akifua nguo za mtoto.
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Vitenzi, Nyakati na Mnyambuliko
Andika sentensi hii katika wakati uliopita hali timilifu: Wambui alikuwa akifua nguo za mtoto.
Answer
Wambui alikuwa amefua nguo za mtoto.
A complete answer could be: Wambui alikuwa amefua nguo za mtoto.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Nomino chumvi, sukari na simanzi huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 20
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi: Mola ametupa ___ bila ___ yoyote. (karama, gharama)Question 21
- Chagua kitenzi kishirikishi katika sentensi hii: Profesa Wamae ni mwanasheria mashuhuri sana.Question 22
- Kanusha: Mpira huu umetoboka.Question 23
- Cheka ni kwa lia kama ilivyo simama kwa ___.Question 24
- Ukubwa wa neno mkoba ni koba. Tunga sentensi kwa kutumia ukubwa wa neno ‘meza’.Question 25