CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 18
Chagua kadi yenye vivumishi vya sifa.
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Chagua kadi yenye vivumishi vya sifa.
- AHili, wale, hicho
- BGani, kipi, ngapi
- CKubwa, tamu, laini
- DChake, vyetu, yao
Answer
C. Kubwa, tamu, laini
Jibu sahihi ni: Kubwa, tamu, laini.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Andika sentensi hii katika wakati uliopita hali timilifu: Wambui alikuwa akifua nguo za mtoto.Question 19
- Nomino chumvi, sukari na simanzi huorodheshwa katika ngeli ipi?Question 20
- Kamilisha sentensi ifuatayo kwa usahihi: Mola ametupa ___ bila ___ yoyote. (karama, gharama)Question 21
- Chagua kitenzi kishirikishi katika sentensi hii: Profesa Wamae ni mwanasheria mashuhuri sana.Question 22
- Kanusha: Mpira huu umetoboka.Question 23
- Cheka ni kwa lia kama ilivyo simama kwa ___.Question 24