naQonda

CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 17

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 17.

From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Msamiati, Methali na Tamathali za Usemi

Soma kifungu hiki kisha ujibu.
Utamaduni ni _____13_____ cha jamii. Hii ina maana kuwa sifa za jamii _____14_____ hujitokeza kutokana na jinsi wanajamii wenyewe _____15_____, shughuli zao za kiuchumi na hata utawala wao. Sisi _____16_____ tunapaswa kuheshimu tamaduni zetu na za wengine. Hali kadhalika, wanajamii hawana budi kuungana kwani _____17_____.

Chagua jibu lifaalo zaidi kujaza pengo 17.

  1. Amwacha mila ni mtumwa
  2. Bmwenda pole hajikwai
  3. Cmkono mmoja haulei mwana
  4. Dibilisi wa mtu ni mtu

Answer

C. mkono mmoja haulei mwana

Jibu sahihi ni: mkono mmoja haulei mwana.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 9 Kiswahili questions from this test