CBC Grade 9 Kiswahili Opener Exam Term 1 2025 · Question 6
Jukumu la kudumisha usalama ni la nani kulingana na kifungu?
From Test 121 — Kiswahili Mukula wa 1 2025 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu
Soma/Read the source text, then answer.
Usalama wa nchi yoyote hutegemea mambo mbalimbali. Kwanza ni jinsi ambavyo asasi za kiusalama zinavyowajibika katika kushughulikia suala hilo. Asasi zenyewe zikilegea, usalama hudorora. Mathalani, katika nchi ambamo askari hupokea hongo na kuyafumbia macho matendo ya uhalifu, wananchi hutaabika sana kutokana na visa vya utovu wa usalama.
Mchango wa wananchi wenyewe hauwezi kupuuzwa. Kinga na kinga ndipo moto uwakapo. Wananchi hawafai kupakata mikono ili serikali iwalindie usalama wao. Kila mmoja hana budi kukaa ange ili kuwatambua watu wenye nia ya kuvuruga usalama katika jamii. Vitendo vya aina hiyo vinafaa kuzuiliwa kabla havijatokea kwa kuwa kinga ni bora kuliko tiba.

Answer
Ni jukumu la asasi za kiusalama na wananchi wote.
A complete answer could be: Ni jukumu la asasi za kiusalama na wananchi wote.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Methali ‘kinga ni bora kuliko tiba’ imetumika kwa maana gani katika kifungu?Question 7
- Neno ‘hongo’ limetumika katika kifungu. Kisawe cha neno hili niQuestion 8
- Eleza ujumbe wa aya ya kwanza kwa sentensi moja.Question 9
- Fupisha ujumbe ulioangaziwa katika aya ya pili kwa maneno yasiyozidi 9.Question 10
- Andika habari kuu iliyo katika aya ya tatu kwa sentensi moja.Question 11
- Andika kichwa kifaacho kwa kifungu hiki.Question 12