CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026: Term 2 Assessment May 2026 (Set 1)
Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 50 questions
Topics: Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika, Kusikiliza na Kuzungumza.
All 50 questions with answers
- Question 1: Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.Answer: D. Babu alisaidiwa kubeba mizigo na wajukuu wake.
- Question 2: Maneno 'kutembea chapuchapu' yametumia kipengele kipi cha lugha?Answer: A. Tanakali za sauti
- Question 3: Si kweli kusema kuwa,Answer: C. babu alizoea kuitembelea familia hii wakati wa likizo
- Question 4: Unafikiri ni jambo lipi halikumfurahisha babu?Answer: B. Utengano uliobainika kila mmoja akishika shughuli zake.
- Question 5: Maneno ‘hatukuweza kuyafahamu matukio ya kitaifa sembuse ya kimataifa’ yanaonyesha kuwaAnswer: C. ilikuwa vigumu zaidi kupata habari za kimataifa
- Question 6: Ni jambo lipi lililofanya upatikanaji wa habari uwe vigumu?Answer: D. Vyombo vya mawasiliano vilimilikiwa na wachache.
- Question 7: Babu anamaanisha nini anaposema kuwa ulimwengu umekuwa kama kijiji kidogo?Answer: A. Mawasiliano yamekuwa rahisi.
- Question 8: Methali 'hakuna masika yasiyokuwa na mbu' imetumiwa katika kifungu kuonyesha kuwaAnswer: C. japo vina manufaa vyombo vya kidijitali huwa na madhara pia
- Question 9: Yafuatayo ni madhara ya vifaa vya kidijitali kwa mujibu wa kifungu isipokuwaAnswer: B. kufanikisha mawasiliano
- Question 10: Neno 'fulusi' kama lilivyotumika kwenye kifungu lina maana yaAnswer: B. pesa
- Question 11: Mafanikio ya Sungura na Nyani yalichangiwa zaidi naAnswer: B. uwajibikaji wao
- Question 12: Ni kweli kusema kuwa majirani haoAnswer: A. hawakupikika katika chungu kimoja
- Question 13: Kwa nini Nyani aliwapeleka Ng’ombe wa Sungura kwa mtemi?Answer: D. Alitaka alipwe fidia
- Question 14: Sungura alijitetea kwa kusema kuwaAnswer: C. hakuwa na nia ya kumdhuru Nyani
- Question 15: Tendo la mti kuharibu mali ya SunguraAnswer: A. lilikuwa bahati mbaya tu
- Question 16: Kwa nini Sungura aliangua kicheko?Answer: B. Alipata nafasi ya kumdhulumu mwenzake.
- Question 17: Kulingana na kifungu, mshikamano wa kijamii huvurugwa zaidi naAnswer: C. watu wasiodhibiti hisia zao
- Question 18: Kichwa kifaacho zaidi kwa makala haya niAnswer: D. Mhini na mhiniwa njia yao ni moja.
- Question 19: Shawe alitaka kujua nini kutoka kwa baba yake?Answer: B. Jinsi ya kutunza afya.
- Question 20: Umuhimu wa hospitali ni upi kulingana na mazungumzo hayo?Answer: D. Kuondoa madhara ya kiafya mwilini.
- Question 21: Mienendo inayoathiri afya kulingana na kifungu niAnswer: A. mapenzi ya kiholela na kutozingatia lishe bora
- Question 22: Vyakula vipi havina madhara kwa mujibu wa kifungu?Answer: C. Vya kiasili
- Question 23: Neno 'shabash' ni aina yaAnswer: C. kiingizi
- Question 24: Ni maradhi yapi hayasababishwi na mapenzi ya kiholela?Answer: A. Saratani
- Question 25: 'Kujistahi' kulingana na kifungu niAnswer: D. kujiheshimu.
- Question 26: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 26.Answer: C. mengi
- Question 27: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 27.Answer: A. Kati ya
- Question 28: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 28.Answer: B. kudumisha
- Question 29: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.Answer: C. wa
- Question 30: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 30.Answer: D. kuhusiana
- Question 31: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.Answer: B. Aidha
- Question 32: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Answer: A. zinazopatikana
- Question 33: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Answer: C. yao
- Question 34: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Answer: D. yeyote
- Question 35: Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Answer: B. asiyesikia la mkuu huvunjika guu
- Question 36: Chagua sentensi yenye kiwakilishi nafsi.Answer: A. Wewe ndiwe uliyemsaidia.
- Question 37: Chagua sentensi iliyotumia sauti g na gh kwa usahihi.Answer: B. Ghulamu huyu amenunua gari ghali.
- Question 38: Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Answer: B. Serikali imepunguza gharama ya elimu.
- Question 39: Bainisha sentensi iliyo katika hali ya kuagiza.Answer: A. Njooni mle chakula chenu.
- Question 40: Kivumishi ni kipi katika sentensi ifuatayo? Punda yule amechoka sana kwa kubeba mizigo mizitoAnswer: D. mizito
- Question 41: Tamko lipi hutumiwa kuagana wakati wa usiku?Answer: B. Alamsiki
- Question 42: Tumia kiulizi kifaacho zaidi kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Ni bidhaa ___ zilizoletwa kutoka mjini?Answer: D. gani
- Question 43: Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Ua huo ulijengwa na fundi yule.Answer: C. Nyua hizo zilijengwa na mafundi wale.
- Question 44: Kanusha sentensi ifuatayo; Maji ya kunywa yalichemshwa.Answer: A. Maji ya kunywa hayakuchemshwa.
- Question 45: Andika usemi wa taarifa wa, “Mvua ilinyesha sana jana,” alisema.Answer: D. Alisema kuwa mvua ilikuwa imenyesha sana siku iliyopita.
- Question 46: Andika katika hali ya ukubwa. Mbwa anabweka karibu na nyumba ileAnswer: B. Jibwa linabweka karibu na jumba lile.
- Question 47: Ipi ni sentensi ambatano?Answer: C. Wanafunzi walifanya mazoezi kisha wakaenda darasani.
- Question 48: Andika sentensi ifuatayo katika kauli ya kutendwa. Majirani wanaijenga nyumba ya babu.Answer: A. Nyumba ya babu inajengwa na majirani.
- Question 49: Kinyume cha woga niAnswer: C. ujasiri
- Question 50: Nomino kapu, gari na jiko huorosheshwa katika ngeli ipi?Answer: B. LI – YA