CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 45
Andika usemi wa taarifa wa, “Mvua ilinyesha sana jana,” alisema.
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Usemi Halisi na Usemi wa Taarifa
45. Andika usemi wa taarifa wa,
“Mvua ilinyesha sana jana,” alisema.
- AAlisema kuwa mvua ilinyesha sana siku iliyofuata.
- BAlisema kuwa mvua ingenyesha sana siku iliyofuata.
- CAlisema kuwa mvua ilikuwa imenyesha sana siku iliyofuata.
- DAlisema kuwa mvua ilikuwa imenyesha sana siku iliyopita.
Answer
D. Alisema kuwa mvua ilikuwa imenyesha sana siku iliyopita.
Katika usemi wa taarifa, ilinyesha inakuwa ilikuwa imenyesha, na jana inakuwa siku iliyopita.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika katika hali ya ukubwa. Mbwa anabweka karibu na nyumba ileQuestion 46
- Ipi ni sentensi ambatano?Question 47
- Andika sentensi ifuatayo katika kauli ya kutendwa. Majirani wanaijenga nyumba ya babu.Question 48
- Kinyume cha woga niQuestion 49
- Nomino kapu, gari na jiko huorosheshwa katika ngeli ipi?Question 50
- Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.Question 1