CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 50
Nomino kapu, gari na jiko huorosheshwa katika ngeli ipi?
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ngeli za Nomino
50. Nomino kapu, gari na jiko huorosheshwa katika ngeli ipi?
- AI – ZI
- BLI – YA
- CYA – YA
- DI – I
Answer
B. LI – YA
Kapu, gari na jiko ni za ngeli ya LI-YA: kapu limejaa / makapu yamejaa, gari limefika / magari yamefika, jiko limewaka / meko yamewaka.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu sahihi kulingana na aya ya kwanza.Question 1
- Maneno 'kutembea chapuchapu' yametumia kipengele kipi cha lugha?Question 2
- Si kweli kusema kuwa,Question 3
- Unafikiri ni jambo lipi halikumfurahisha babu?Question 4
- Maneno ‘hatukuweza kuyafahamu matukio ya kitaifa sembuse ya kimataifa’ yanaonyesha kuwaQuestion 5
- Ni jambo lipi lililofanya upatikanaji wa habari uwe vigumu?Question 6