naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 49

Kinyume cha woga ni

From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Msamiati

49. Kinyume cha woga ni

  1. Aukali
  2. Butundu
  3. Cujasiri
  4. Dutulivu.

Answer

C. ujasiri

Woga ni kuogopa; kinyume chake ni ujasiri, yaani kutoogopa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test