CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 44
Kanusha sentensi ifuatayo; Maji ya kunywa yalichemshwa.
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukanushaji
44. Kanusha sentensi ifuatayo;
Maji ya kunywa yalichemshwa.
- AMaji ya kunywa hayakuchemshwa.
- BMaji ya kunywa hayajachemshwa.
- CMaji ya kunywa hayachemshwi.
- DMaji ya kunywa hayatachemshwa.
Answer
A. Maji ya kunywa hayakuchemshwa.
Wakati uliopita (-li-) hukanushwa kwa ha- na -ku-: yalichemshwa inakuwa hayakuchemshwa.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Andika usemi wa taarifa wa, “Mvua ilinyesha sana jana,” alisema.Question 45
- Andika katika hali ya ukubwa. Mbwa anabweka karibu na nyumba ileQuestion 46
- Ipi ni sentensi ambatano?Question 47
- Andika sentensi ifuatayo katika kauli ya kutendwa. Majirani wanaijenga nyumba ya babu.Question 48
- Kinyume cha woga niQuestion 49
- Nomino kapu, gari na jiko huorosheshwa katika ngeli ipi?Question 50