naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 46

Andika katika hali ya ukubwa. Mbwa anabweka karibu na nyumba ile

From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Ukubwa na Udogo

46. Andika katika hali ya ukubwa.
Mbwa anabweka karibu na nyumba ile

  1. AKijibwa kinabweka karibu na jumba lile.
  2. BJibwa linabweka karibu na jumba lile.
  3. CMbwa anabweka karibu na kijumba kile.
  4. DKijibwa kinabweka karibu na kijumba kile.

Answer

B. Jibwa linabweka karibu na jumba lile.

Ukubwa wa mbwa ni jibwa na wa nyumba ni jumba, zote za ngeli ya LI-YA: jibwa linabweka, jumba lile. Kijibwa na kijumba ni udogo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test