CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 41
Tamko lipi hutumiwa kuagana wakati wa usiku?
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kusikiliza na Kuzungumza, Mazungumzo
41. Tamko lipi hutumiwa kuagana wakati wa usiku?
- AMasalkheri
- BAlamsiki
- CBuriani
- DSafari njema
Answer
B. Alamsiki
Alamsiki hutumiwa kuagana usiku (usiku mwema), na hujibiwa 'binuru'. Masalkheri ni salamu ya jioni, buriani ni kuagana kwa mara ya mwisho.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tumia kiulizi kifaacho zaidi kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Ni bidhaa ___ zilizoletwa kutoka mjini?Question 42
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Ua huo ulijengwa na fundi yule.Question 43
- Kanusha sentensi ifuatayo; Maji ya kunywa yalichemshwa.Question 44
- Andika usemi wa taarifa wa, “Mvua ilinyesha sana jana,” alisema.Question 45
- Andika katika hali ya ukubwa. Mbwa anabweka karibu na nyumba ileQuestion 46
- Ipi ni sentensi ambatano?Question 47