naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 42

Tumia kiulizi kifaacho zaidi kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Ni bidhaa ___ zilizoletwa kutoka mjini?

From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

42. Tumia kiulizi kifaacho zaidi kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo.
Ni bidhaa ________ zilizoletwa kutoka mjini?

  1. Amangapi
  2. Byapi
  3. Cupi
  4. Dgani

Answer

D. gani

Bidhaa ni ya ngeli ya I-ZI; gani haibadiliki kulingana na ngeli, hivyo 'Ni bidhaa gani zilizoletwa' ni sahihi. Mangapi, yapi na upi ni za ngeli nyingine.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test