CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 40
Kivumishi ni kipi katika sentensi ifuatayo? Punda yule amechoka sana kwa kubeba mizigo mizito
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno
40. Kivumishi ni kipi katika sentensi ifuatayo?
Punda yule amechoka sana kwa kubeba mizigo mizito
- Asana
- Bkwa
- Camechoka
- Dmizito
Answer
D. mizito
Mizito inaeleza sifa ya nomino mizigo, hivyo ni kivumishi. Sana ni kielezi, kwa ni kihusishi na amechoka ni kitenzi.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Tamko lipi hutumiwa kuagana wakati wa usiku?Question 41
- Tumia kiulizi kifaacho zaidi kujaza nafasi katika sentensi ifuatayo. Ni bidhaa ___ zilizoletwa kutoka mjini?Question 42
- Andika wingi wa sentensi ifuatayo. Ua huo ulijengwa na fundi yule.Question 43
- Kanusha sentensi ifuatayo; Maji ya kunywa yalichemshwa.Question 44
- Andika usemi wa taarifa wa, “Mvua ilinyesha sana jana,” alisema.Question 45
- Andika katika hali ya ukubwa. Mbwa anabweka karibu na nyumba ileQuestion 46