CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 34
Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Chagua jibu sahihi kujibu swali la 26 hadi 35.
Watoto wana majukumu ....26.... katika jamii. ....27.... majukumu hayo ni ....28.... mshikamano ....29.... kijamii kwa ....30.... vyema na wenzao. ....31...., watunze rasilimali ....32.... katika mazingira ....33.... kama vile shuleni au nyumbani. Mtoto ....34.... hafai kuwavunjia heshima wakubwa wake wala kupuuza ushauri wao kwani ....35.....
34. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.
- Awowote
- Byoyote
- Cchochote
- Dyeyote
Answer
D. yeyote
Mtoto ni nomino ya ngeli ya A-WA (umoja), hivyo inachukua yeyote: mtoto yeyote.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Question 35
- Chagua sentensi yenye kiwakilishi nafsi.Question 36
- Chagua sentensi iliyotumia sauti g na gh kwa usahihi.Question 37
- Chagua sentensi iliyo katika hali timilifu.Question 38
- Bainisha sentensi iliyo katika hali ya kuagiza.Question 39
- Kivumishi ni kipi katika sentensi ifuatayo? Punda yule amechoka sana kwa kubeba mizigo mizitoQuestion 40