naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 36

Chagua sentensi yenye kiwakilishi nafsi.

From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Aina za Maneno

36. Chagua sentensi yenye kiwakilishi nafsi.

  1. AWewe ndiwe uliyemsaidia.
  2. BNywele zangu zimesukwa lakini zake zimenyolewa.
  3. CNyumba hii ilijengwa juzi lakini ile ni ya zamani.
  4. DShamba dogo limelimwa lakini kubwa litashughulikiwa kesho.

Answer

A. Wewe ndiwe uliyemsaidia.

Wewe ni kiwakilishi nafsi (nafsi ya pili umoja). Zake ni kiwakilishi kimilikishi, ile ni kiwakilishi kionyeshi na kubwa ni kiwakilishi cha sifa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test