naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 35

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.

From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Chagua jibu sahihi kujibu swali la 26 hadi 35.

Watoto wana majukumu ....26.... katika jamii. ....27.... majukumu hayo ni ....28.... mshikamano ....29.... kijamii kwa ....30.... vyema na wenzao. ....31...., watunze rasilimali ....32.... katika mazingira ....33.... kama vile shuleni au nyumbani. Mtoto ....34.... hafai kuwavunjia heshima wakubwa wake wala kupuuza ushauri wao kwani ....35.....

35. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.

  1. Amchuma janga hula na wa kwao
  2. Basiyesikia la mkuu huvunjika guu
  3. Cmtaka yote hukosa yote
  4. Dukiona vyaelea jua vimeundwa

Answer

B. asiyesikia la mkuu huvunjika guu

Sentensi inazungumzia kupuuza ushauri wa wakubwa; methali 'asiyesikia la mkuu huvunjika guu' inaonya kuwa anayekataa ushauri wa wakubwa hupata matatizo.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test