naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 37

Chagua sentensi iliyotumia sauti g na gh kwa usahihi.

From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Sarufi na Matumizi ya Lugha, Matamshi na Tahajia

37. Chagua sentensi iliyotumia sauti g na gh kwa usahihi.

  1. AGulamu huyu amenunua gari gali.
  2. BGhulamu huyu amenunua gari ghali.
  3. CGulamu huyu amenunua gari ghali.
  4. DGhulamu huyu amenunua ghari gali.

Answer

B. Ghulamu huyu amenunua gari ghali.

Ghulamu (kijana) na ghali (bei ya juu) huandikwa kwa gh, lakini gari (chombo cha usafiri) huandikwa kwa g.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test