CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 31
Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.
From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)
Chagua jibu sahihi kujibu swali la 26 hadi 35.
Watoto wana majukumu ....26.... katika jamii. ....27.... majukumu hayo ni ....28.... mshikamano ....29.... kijamii kwa ....30.... vyema na wenzao. ....31...., watunze rasilimali ....32.... katika mazingira ....33.... kama vile shuleni au nyumbani. Mtoto ....34.... hafai kuwavunjia heshima wakubwa wake wala kupuuza ushauri wao kwani ....35.....
31. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 31.
- ALau
- BAidha
- CJapo
- DHata hivyo
Answer
B. Aidha
Aidha maana yake ni 'pia' au 'zaidi ya hayo': linaongeza jukumu jingine, la kutunza rasilimali.
More Grade 8 Kiswahili questions from this test
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 32.Question 32
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 33.Question 33
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 34.Question 34
- Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 35.Question 35
- Chagua sentensi yenye kiwakilishi nafsi.Question 36
- Chagua sentensi iliyotumia sauti g na gh kwa usahihi.Question 37