naQonda

CBC Grade 8 Kiswahili Exam Term 2 2026 · Question 29

Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.

From Kiswahili — Term 2 Assessment May 2026 (Set 1) · 1 mark · Topic: Kuandika, Ujazaji wa Nafasi (Kiswahili Sanifu)

Chagua jibu sahihi kujibu swali la 26 hadi 35.

Watoto wana majukumu ....26.... katika jamii. ....27.... majukumu hayo ni ....28.... mshikamano ....29.... kijamii kwa ....30.... vyema na wenzao. ....31...., watunze rasilimali ....32.... katika mazingira ....33.... kama vile shuleni au nyumbani. Mtoto ....34.... hafai kuwavunjia heshima wakubwa wake wala kupuuza ushauri wao kwani ....35.....

29. Chagua jibu linalofaa kujaza nafasi ya 29.

  1. Aya
  2. Bkwa
  3. Cwa
  4. Dza

Answer

C. wa

Mshikamano ni nomino ya ngeli ya U-I (umoja), hivyo kiunganishi ni wa: mshikamano wa kijamii.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 8 Kiswahili questions from this test