CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025: Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9)
Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 30 questions
Topics: Kusoma, Sarufi, Msamiati.
All 30 questions with answers
- Question 1: Mazungumzo haya yaliandaliwa majira ya saa ngapi?Answer: D. Hatujaelezwa
- Question 2: Ili kuonyesha heshima kuu, mwalimu alipowaamkia, wanafunzi woteAnswer: A. walisimama ili kupokea salamu yake
- Question 3: Ni mwanafunzi yupi aliyemkatiza mwalimu alipokuwa akiongea?Answer: B. Matayo
- Question 4: Kulingana na mazungumzo haya, yote yanayotuzunguka ndiyoAnswer: A. mazingira
- Question 5: Mwishoni, mwalimu alifurahishwa na nini?Answer: C. Michango ya wanafunzi
- Question 6: Binadamu wana mambo mengi wanayoweza kujifunza kutoka kwaAnswer: C. wanyama wengine
- Question 7: Kulingana na ufahamu, chakula kitamu kuliko vyote ulimwenguni niAnswer: C. asali
- Question 8: Nyuki huweza kuwaangamiza watu au wanyama iwapoAnswer: C. watawavamia kwa pamoja
- Question 9: Nyuki hufanya kazi hata wakati wa jua na baridi kutokana na nini?Answer: C. Bidii yao
- Question 10: Kifungu kinaeleza kuwa wakati wa jua, mvua na baridi kaliAnswer: B. watu wengine hukataa kufanya kazi
- Question 11: Madhara yaliyompata kinyonga yalitokana hasa na nini?Answer: C. tamaa
- Question 12: Kinyonga na wenzake walikuwa wakiishi wapi?Answer: D. Kijijini
- Question 13: Ni ukweli kuwa kinyonga na wenzakeAnswer: C. hawakuwa wamewahi kula matunda
- Question 14: Badala ya kutumia neno kinyonga mwandishi angetumia neno lipi tena?Answer: A. lumbwi
- Question 15: Kichwa kinachofaa kwa ufahamu huu niAnswer: B. Madhara ya tamaa
- Question 16: Chagua jibu sahihi la pengo 16.Answer: C. ninaopenda
- Question 17: Chagua jibu sahihi la pengo 17.Answer: D. kadanda
- Question 18: Chagua jibu sahihi la pengo 18.Answer: A. kumi na moja
- Question 19: Chagua jibu sahihi la pengo 19.Answer: C. mengi
- Question 20: Chagua jibu sahihi la pengo 20.Answer: B. sare
- Question 21: Jibu maswali yafuatayo kulingana na maagizo. Ni nomino ipi kati ya zifuatazo haipatikani katika ngeli ya LI-LI?Answer: C. gari
- Question 22: Unapotaka kuunda keki na mikate utatumia njia gani ya upishi?Answer: A. kuoka
- Question 23: Tambua nomino iliyolinganishwa kwa usahihi na wingi wake.Answer: D. Mama - akina mama
- Question 24: Neno mtoto litaandikwaje katika ukubwa?Answer: B. jitoto
- Question 25: Andika wingi wa: Mwasuli huu unapendeza.Answer: B. Miasuli hii inapendeza
- Question 26: Chagua jozi inayotumia silabi za sauti f na v.Answer: D. fuma - vuma
- Question 27: Zifuatazo ni nomino za pekee isipokuwaAnswer: A. Shule
- Question 28: Onyesha kielezi katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wale wazuri wameandika insha vizuri.Answer: A. vizuri
- Question 29: Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?Answer: C. upishi
- Question 30: Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.Answer: C. Mbung'o, ndorobo