CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 30
Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Msamiati, Visawe
30. Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.
- ARuninga, redio
- BNdovu, pombe
- CMbung'o, ndorobo
- DUgonjwa, malaria
Answer
C. Mbung'o, ndorobo
Mbung'o na ndorobo ni majina mawili ya mdudu mmoja.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Mazungumzo haya yaliandaliwa majira ya saa ngapi?Question 1
- Ili kuonyesha heshima kuu, mwalimu alipowaamkia, wanafunzi woteQuestion 2
- Ni mwanafunzi yupi aliyemkatiza mwalimu alipokuwa akiongea?Question 3
- Kulingana na mazungumzo haya, yote yanayotuzunguka ndiyoQuestion 4
- Mwishoni, mwalimu alifurahishwa na nini?Question 5
- Binadamu wana mambo mengi wanayoweza kujifunza kutoka kwaQuestion 6