CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 29
Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli
29. Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?
- Auteo
- Buzi
- Cupishi
- Dufunguo
Answer
C. upishi
Upishi hauna wingi (U-U); uteo – teo, uzi – nyuzi, ufunguo – funguo.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.Question 30
- Mazungumzo haya yaliandaliwa majira ya saa ngapi?Question 1
- Ili kuonyesha heshima kuu, mwalimu alipowaamkia, wanafunzi woteQuestion 2
- Ni mwanafunzi yupi aliyemkatiza mwalimu alipokuwa akiongea?Question 3
- Kulingana na mazungumzo haya, yote yanayotuzunguka ndiyoQuestion 4
- Mwishoni, mwalimu alifurahishwa na nini?Question 5