CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 28
Onyesha kielezi katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wale wazuri wameandika insha vizuri.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Vielezi
28. Onyesha kielezi katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wale wazuri wameandika insha vizuri.
- Avizuri
- Bwazuri
- Cwale
- Dwanafunzi
Answer
A. vizuri
"Vizuri" kinaeleza jinsi walivyoandika.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?Question 29
- Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.Question 30
- Mazungumzo haya yaliandaliwa majira ya saa ngapi?Question 1
- Ili kuonyesha heshima kuu, mwalimu alipowaamkia, wanafunzi woteQuestion 2
- Ni mwanafunzi yupi aliyemkatiza mwalimu alipokuwa akiongea?Question 3
- Kulingana na mazungumzo haya, yote yanayotuzunguka ndiyoQuestion 4