CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 27
Zifuatazo ni nomino za pekee isipokuwa
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Nomino
27. Zifuatazo ni nomino za pekee isipokuwa
- AShule
- BMaria
- CAlhamisi
- DJanuari
Answer
A. Shule
Maria, Alhamisi na Januari ni majina ya pekee; shule ni nomino ya kawaida.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Onyesha kielezi katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wale wazuri wameandika insha vizuri.Question 28
- Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?Question 29
- Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.Question 30
- Mazungumzo haya yaliandaliwa majira ya saa ngapi?Question 1
- Ili kuonyesha heshima kuu, mwalimu alipowaamkia, wanafunzi woteQuestion 2
- Ni mwanafunzi yupi aliyemkatiza mwalimu alipokuwa akiongea?Question 3