CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 26
Chagua jozi inayotumia silabi za sauti f na v.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Sauti
26. Chagua jozi inayotumia silabi za sauti f na v.
- Athamani - dhamini
- Bfahali - fahari
- Csaa - zaa
- Dfuma - vuma
Answer
D. fuma - vuma
Fuma huanza na f na vuma huanza na v.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Zifuatazo ni nomino za pekee isipokuwaQuestion 27
- Onyesha kielezi katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wale wazuri wameandika insha vizuri.Question 28
- Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?Question 29
- Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.Question 30
- Mazungumzo haya yaliandaliwa majira ya saa ngapi?Question 1
- Ili kuonyesha heshima kuu, mwalimu alipowaamkia, wanafunzi woteQuestion 2