CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 25
Andika wingi wa: Mwasuli huu unapendeza.
From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Umoja na Wingi
25. Andika wingi wa: Mwasuli huu unapendeza.
- AMiasuli hizi zinapendeza
- BMiasuli hii inapendeza
- CMiasuli haya yanapendeza
- DMiasuli huu inapendeza
Answer
B. Miasuli hii inapendeza
Mwasuli ni ngeli ya U-I: miasuli hii inapendeza.
More Grade 5 Kiswahili questions from this test
- Chagua jozi inayotumia silabi za sauti f na v.Question 26
- Zifuatazo ni nomino za pekee isipokuwaQuestion 27
- Onyesha kielezi katika sentensi ifuatayo: Wanafunzi wale wazuri wameandika insha vizuri.Question 28
- Kati ya nomino hizi, ipi isiyo katika ngeli ya U-ZI?Question 29
- Chagua orodha ya majina ambayo ni visawe.Question 30
- Mazungumzo haya yaliandaliwa majira ya saa ngapi?Question 1