naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 16

Chagua jibu sahihi la pengo 16.

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Kujaza Mapengo

Jaza nafasi zilizoachwa kwenye kifungu kifuatacho kwa jibu lifaalo zaidi.
Mchezo __16__ ni soka au __17__ hupendwa na watu wengi sana duniani. Mchezo huo huchezwa na wachezaji __18__ kila upande. Kila timu hujaribu inavyoweza ili kuwa mshindi. Timu inayoshinda ni ile ambayo huwa na mabao __19__ kushinda nyingine. Iwapo hakuna timu inayoshinda, husemwa kuwa timu zimeenda __20__.

16. Chagua jibu sahihi la pengo 16.

  1. Aunaopenda
  2. Bunaopendwa
  3. Cninaopenda
  4. Dkinachopendwa

Answer

C. ninaopenda

"Mchezo ninaopenda ni soka"; "mchezo unaopendwa" pia unafaa.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test