naQonda

CBC Grade 5 Kiswahili Exam Term 1 2025 · Question 21

Jibu maswali yafuatayo kulingana na maagizo. Ni nomino ipi kati ya zifuatazo haipatikani katika ngeli ya LI-LI?

From Kiswahili — Monitoring Learners Progress 2025 (Set 9) · 1 mark · Topic: Sarufi, Ngeli

21. Jibu maswali yafuatayo kulingana na maagizo.
Ni nomino ipi kati ya zifuatazo haipatikani katika ngeli ya LI-LI?

  1. Agiza
  2. Bjasho
  3. Cgari
  4. Djoto

Answer

C. gari

Giza, jasho na joto hazina wingi (LI-LI); gari ni ngeli ya I-ZI.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 5 Kiswahili questions from this test